
Ujenzi wa Ndoto zako.
Karibu MjengoPRO.
Tunabadilisha mawazo yako kuwa uhalisia. Ujenzi wa kisasa na wenye ubora. Tueleze una bajeti ya kiasi gani tukupe ushauri na ramani ya mjengo wako.
BOFYA HUDUMA UNAYOITAKA HAPA CHINI
RAMANI ZA 3D
Tunachora Ramani za 3D na kufanya B.O.Q kwa mteja.
UJENZI
Kutana na mafundi wetu waliobobea kwenye ujenzi wa majengo mbalimbali.
Ushauri kuhusu Ujenzi
Tueleze una bajeti ya kiasi gani tukupatie ramani ya nyumba inayoendana na bajeti yako.
Ukarabati wa nyumba
VIFAA VYA UJENZI
Jipatie kila kitu katika ujenzi wa mjengo wako kuanzia mchanga, kokoto, matofali, cement, nondo, mabati, rangi na vinginevyo
Maswali zaidi
Gharama za Ramani ya nyumba na B.O.Q ni kiasi gani?
Mnafanya uwasilishaji wa vifaa vya ujenzi site?
Ujenzi unachukua muda gani kukamilika?
Mnatoa ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba kulingana na bajeti ya mteja?
Mnafanya huduma ya ukaguzi wa eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi unao endelea?
Hatua muhimu!
1Tupigie simu au Chati nasi
2Tueleze bajeti yako na huduma unayotaka
3Tukabidhi kazi yako.
Wasilisha maoni yako
©2025-MjengoPRO Ltd